الدروس المترجمة

WALIOHARAMISHWA KUOLEWA KATIKA WANAWAKE.

بسم الله الرحمن الرحيم WALIOHARAMISHWA KUOLEWA KATIKA WANAWAKE. Walioharamishwa kuolewa katika wanawake ni aina kumi na tano (15).   حُرِّمَتْ عَلَيْكُمْ أُمَّهَاتُكُمْ وَبَنَاتُكُمْ وَأَخَوَاتُكُمْ وَعَمَّاتُكُمْ وَخَالَاتُكُمْ وَبَنَاتُ الْأَخِ وَبَنَاتُ الْأُخْتِ وَأُمَّهَاتُكُمُ اللَّاتِي أَرْضَعْنَكُمْ وَأَخَوَاتُكُمْ مِنَ الرَّضَاعَةِ وَأُمَّهَاتُ نِسَائِكُمْ وَرَبَائِبُكُمُ اللَّاتِي فِي حُجُورِكُمْ مِنْ نِسَائِكُمُ اللَّاتِي دَخَلْتُمْ بِهِنَّ فَإِنْ لَمْ تَكُونُوا دَخَلْتُمْ بِهِنَّ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ …

اقرأ المزيد »

HUKUMU ZA SIKU KUMI [ZA MWANZO KATIKA MWEZI WA] DHUL-HIJJA.

بسم الله الرحمن الرحيم HUKUMU ZA SIKU KUMI [ZA MWANZO KATIKA MWEZI WA] DHUL-HIJJA.        Kila sifa njema ni zake Allah mwenye kuhimidiwa na sala na salamu kwa mtume wetu na ahli zake na maswahaba wake na waliokuja baada yao, ama baada; Hakika Allah ameweka kuwa ni sheria kwa waja wake yale yenye kuwanufaisha na …

اقرأ المزيد »

HATARI YA TELEVISHENI NA UHARIBIFU WAKE.

HATARI YA TELEVISHENI NA UHARIBIFU WAKE. Kila sifa njema ni zake Allah na swala na salamu ziwe juu ya mtume wa Allah ﷺ na ahli zake na maswahaba wake na waliokuja baada yao, na nashuhudia ya kuwa hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na nashuhudia hakika ya Muhammad ni mja na ni mtume …

اقرأ المزيد »

Kila sifa njema ni zake Allah na swala na salamu ziwe juu ya mtume ﷺ, anasema Allah, (basi wakiamini kama vile mlivyoamini nyinyi{maswahaba} basi watakuwa wameongoka).

بسم الله الرحمن الرحيم Kila sifa njema ni zake Allah na swala na salamu ziwe juu ya mtume ﷺ, anasema Allah, (basi wakiamini kama vile mlivyoamini nyinyi{maswahaba} basi watakuwa wameongoka). Hakika katika sunna zilizohamwa ni kunyosha safu katika swala. Na watu wengi hawajali jambo hilo la kunyosha safu na wanadhania kuwa wameongoka. Na ajue kila …

اقرأ المزيد »

sample matw

  UJUMBE KWA ANAETAKA UISLAMU. IMEANDIKWA NA ABUL YAMAAN ADNAAN AL-MASQARY NDUGU MWISLAMU Kila sifa njema zinamstahiki Allah tunamshukuru na tunamtaka msaada na tunamtaka msamaha na tunajikinga kwa Allah kutokana na shari za nafsi zetu na kutokana na matendo mabaya, mwenye kumuongoza Allah hakuna wa kumpoteza na mwenye kumpoteza hakuna wa kumuongoza na nashuhudia ya …

اقرأ المزيد »

RADI KWA MAKHAWARIJI

WATAHADHARINI MAKHAWARIJI NDUGU ZENU KATIKA MASJID ALBANI YA ELIMU ZA HADITHI DAR ES SALAAM   بسم الله الرحمن الرحيم          HUU NI UBAINIFU KWA WATU Kila sifa njema ni zake Allah mwenye kuhimidiwa na swala na salamu ziwe juu ya mtume wetu ﷺ na ahli zake na maswahaba wake na yule mwenye kumfuaata; Ama baada …

اقرأ المزيد »

MISINGI SITA MIKUBWA

MISINGI SITA MIKUBWA Miongoni mwa maajabu makubwa na alama kubwa zenye kujulisha kudra za mfalme mwenye kushinda(Allah). Misingi sita ambayo ameibainisha Allah ubainifu uliyokuwa wazi kwa wale wasio na elimu kuliko vile wanavyo dhania wenye kudhani, kisha baada ya ubainifu huo wameteleza wengi katika wale wenye kudai akili(uerevu) isipokuwa wachache wao. Msingi wa kwanza. Kupwekesha …

اقرأ المزيد »

MIONGONI MWA ADABU ZA NDOA NA MAOVU YAKE

MIONGONI MWA ADABU ZA NDOA NA MAOVU YAKE.       (Ewe mola wetu mlezi, tupe katika wake zetu na watoto wetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe ni waongozi kwa wamchao Allah.) Alfurqaan 74. Kila sifa njema ni za Allah ambaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu na akaanzisha kumuuba mtu kwa udongo, na ninashuhudia ya kwamba hapana …

اقرأ المزيد »

kitabu cha twahara

2-KITABU CHA TWAHARA. 1-HUU NI MLANGO KATIKA UBORA WA UDHU. 1-[223]Ametuhadithia Is-haqa ibn Mansour ametuhadithia habban ibn hilali ametuhadithia Abaan ametuhadithia Yahya hakika Zaidi amemuhadithia hakika Abu Sallaam amemuhadithia^ kutoka Abu malik al-ash-ariy amesema amesema Mtume ~~~ “twahara ni nusu ya imani na al-hamdulillah inajaza mizani na subhanallah na Alhamdulillah zinajaza au inajaza kilichopo kati …

اقرأ المزيد »

HATARI YA TELEVISHENI NA UHARIBIFU WAKE.

HATARI YA TELEVISHENI NA UHARIBIFU WAKE. Kila sifa njema ni zake Allah na swala na salamu ziwe juu ya mtume wa Allah ﷺ na ahli zake na maswahaba wake na waliokuja baada yao, na nashuhudia ya kuwa hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na nashuhudia hakika ya Muhammad ni mja na ni mtume …

اقرأ المزيد »