kitabu cha twahara
2-KITABU CHA TWAHARA.
1-HUU NI MLANGO KATIKA UBORA WA UDHU.
1-[223]Ametuhadithia Is-haqa ibn Mansour ametuhadithia habban ibn hilali ametuhadithia Abaan ametuhadithia Yahya hakika Zaidi amemuhadithia hakika Abu Sallaam amemuhadithia^ kutoka Abu malik al-ash-ariy amesema amesema Mtume ~~~ “twahara ni nusu ya imani na al-hamdulillah inajaza mizani na subhanallah na Alhamdulillah zinajaza au inajaza kilichopo kati ya mbingu na ardhi na sala ni nuru na sadaka ni dalili ya imani ya mtu na subira ni mwangaza na qur-an ni hoja ya kukutea au dhidi yako watu wote wanafanya matendo miongoni mwao kuna mwenye kuiuza nafsi yake akaiacha huru[kutokana na adhabu kwa kumtii Allah] au akaiangamiza [kwa kufanya maasi].
2-HUU NI MLANGO KATIKA UWAJIBU WA TWAHARA KWA AJILI YA SALA.
[224]-!!! Saidi ibn Mansour na qutaiba ibn saidi na abu kaamil aljahdariy-na tamko ni la saidi –wamesema
3-HUU NI MLANGO KATIKA SIFA YA UDHU NA UKAMILIFU WAKE.
3-[226]
4-(…)&&& humrana mwacha huru wa uthman %%% yeye alimuona uthman akiagiza chombo akamwagia maji juu ya viganja vyake mara tatu na akaviosha kisha akaingiza mkono wake wa kulia katika chombo akasukutua na akavuta maji puani kisha akaosha uso wake mara tatu na mikono yake mpaka katika viwiko viwili mara tatu kisha akafuta kichwa chake kisha akaosha miguu yake mara tatu kisha ^^^ “^^^ /// ~~~ “Mwenye kutawadha mfano wa udhu wangu huu kisha akasali rakaa mbili haisimulii nafsi yake [mambo ya kidunia] katika rakaa hizo husamehewa miongoni mwa madhambi yake yaliyotangulia.
مرتبط