NI ZIPI NYIRADI ZA ASUBUHI NA JIONI? JIBU: ni
*«اللهمَّ أَنْتَ رَبِّي لا إِلَهَ إِلا أَنْتَ خَلَقْتَنِي وَأَنَا عَبْدُكَ وَأَنَا عَلَى عَهْدِكَ وَوَعْدِكَ مَا اسْتَطَعْتُ أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا صَنَعْتُ أَبُوءُ لَكَ بِنِعْمَتِكَ عَلَيَّ وَأَبُوءُ لَكَ بِذَنْبِي فَاغْفِرْ لِي فَإِنَّهُ لا يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلا أَنْتَ
Ewe Allah wewe ni mola wangu hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa wewe umeniumba mimi na mimi mja wako ni mimi niko juu ya ahadi yako na miadi kwa kadri niwezavyo najikinga kwako kutokana na shari ya ulicho kifanya na ninakiri nema yako juu yangu na ninakiri kwako kwa dhambi yangu nisamehe mimi hakika hakuna anae samehe madhambi isipokuwa wewe .
Amesema mtumeﷺ mwenye kutamka hayo wakati wa mchana hali ni mwenye yakini nayo kisha akafa katika siku yake hiyo kabla hajafikiwa na jioni basi yeye ni mtu wa peponi na mwenye kuyatamka wakati wa usiku hali ni mwenye yakini nayo kisha akafa katika usiku wake huo kabla ajafikiwa na asubuhi basi yeye ni mutu wa peponi .
Ameipokea bukhar kutoka kwa shadad ibn ausi{ 6306}
*«أَمْسَيْنَا وَأَمْسَى الْمُلْكُ لِلَّهِ وَالْحَمْدُ لِلَّهِ لا إِلَهَ إِلا اللَّهُ وَحْدَهُ لا شَرِيكَ لَهُ. لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ رَبِّ أَسْأَلُكَ خَيْرَ مَا فِي هَذِهِ اللَّيْلَةِ وَخَيْرَ مَا بَعْدَهَا وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا فِي هَذِهِ اللَّيْلَةِ وَشَرِّ مَا بَعْدَهَا رَبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنْ الْكَسَلِ وَسُوءِ الْكِبَرِ رَبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنْ عَذَابٍ فِي النَّارِ وَعَذَابٍ فِي الْقَبْرِ
Tumefikiwa na jioni na umekuwa ufalme ni wa Allah na sifa njema anasitahiki Allah hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah peke yake hana mshirika .ni wake yeye ufalme na nizake yeye sifa njema naye juu ya kila kitu ni muweza ewe mola wangu akuomba kheri iliyo dani ya usiku huu ni kheri iliyo baada yake na nijikinga kwako kutokana na shari iliyopo dani ya usiku huu na shari iliyo baada yake ewe mola wangu naikinga kwako kutoka na uvivu na ukubwa mbaya na ninajikinga kwako kutokana na Adhabu katika moto na adhabu katika kaburi.
Na anapofiliwa na asubuhi anasema “tumefikiwa na asubuhi…….)ameipokea muslim {2723}kutoka kwa ibn masud..
*«بِسْمِ اللَّهِ الَّذِي لا يَضُرُّ مَعَ اسْمِهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلا فِي السَّمَاءِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ
Kwa jina la allah ambaye hakidhuru kitu pamoja na jina lake katika ardhi wala mbinguni nae ni msikuvu na mjuzi (mara tatu ) mwenye kusema dua hii hakito mudhuru kitu
Ameipoka Abu daud {5088} na hadithi hii iko katika sahihi musinad ya imamu alwady Allah amrehemu
*«اللَّهُمَّ بِكَ أَصْبَحْنَا وَبِكَ أَمْسَيْنَا وَبِكَ نَحْيَا وَبِكَ نَمُوتُ وَإِلَيْكَ النُّشُورُ ,وَإِذَا أَمْسَى. فَلْيَقُلْ: اللَّهُمَّ بِكَ أَمْسَيْنَا وَبِكَ أَصْبَحْنَا وَبِكَ نَحْيَا وَبِكَ نَمُوتُ وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ »
Ewe Allah kwa msada wako tumepambazukiwa na kwa msaada wako tumefikiwa na jioni na kwa saada wako tunakuwa hai na kwa msaada wako tunakufa na kwako wewe tutakusanywa
Na anapofikiwa na jiona anasema Ewe Allah kwa msada wakotumefikiwa na jioni na kwa msaada wako tumepambazukiwa na kwa saada wako tunakuwa hai na kwa saada wako tunakufa na kwako wewe ndo kuna marejeo Ameipokea abu daud kutoka kwa Abu huraira {5068}
*«اللَّهُمَّ فَاطِرَ السَّمَوَاتِ وَالأرْضِ عَالِمَ الْغَيْبِ وَالشَّهَادَةِ لا إِلَهَ إِلا أَنْتَ رَبَّ كُلِّ شَيْءٍ وَمَلِيكَهُ أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ نَفْسِي وَمِنْ شَرِّ الشَّيْطَانِ وَشِرْكِهِ وَأَنْ أَقْتَرِفَ عَلَى نَفْسِي سُوءًا أَوْ أَجُرَّهُ إِلَى مُسْلِمٍ
Ewe Allah muumba wa mbingu na ardhi mjuzi wa mambo yaliyo fichikana na yaliyo wazi hapana mola anasitahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa wewe mola wa kila kitu na mumiliki wake najikinga kwako kutokana na shari ya nafsi yangu na kutokana na shari ya shaitwani na ushirikana wake na nina jikinga kutoka na kuchuma juu ya nafsi yangu ubaya au kuupeleka kwa mwisilam.ameipoka Ahmad kutoka kwa Abu huraira na hadithi hii iko katika jaamii swahihi {2/533} na swahiha {63}
*« اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ الْعَافِيَةَ فِى الدُّنْيَا وَالآخِرَةِ اللَّهُمَّ إني أَسْأَلُكَ الْعَفْوَ وَالْعَافِيَةَ فِي دِينِي ودنياي وأهلي وَمَالِي اللَّهُمَّ اسْتُرْ عَوْرَاتِي وَآمِنْ رَوْعَاتِي اللَّهُمَّ احْفَظْنِي مِنْ بَيْنِ يَدَي وَمِنْ خَلْفِي وَعَنْ يَمِينِي وَعَنْ شِمَالِي وَمِنْ فَوْقِى وَأَعُوذُ بِعَظَمَتِكَ أَنْ أُغْتَالَ مِنْ تَحْتِي»
Ewe Allah nakuomba afya duniani na akhera ewe Allah hakika mimi nakuomba msamaha na Afya katika dini yangu na dunia yangu na watu wangu na mali yangu ewe Allah sitiri uchi wangu na niaminishe hofu yangu ewe Allah nihifadhi mimi mbele yangu na nyuma yangu na kuliyani kwangu na kushotoni kwangu na juu yangu na ninajikinga kwa utukufu wako kutokana kuzungukwa jini yangu
Ameipokea Abu daud {5045}kutoka kwa ibn omar na weiswahuihisha mashekhe wawili alwadiy katika swahihi musinad na shekhe alban
.
*« أصبحت أثني عليك حمدًا وأشهد أن لا إله إلا الله ». وإذا أمسى قال أمسيت…).
Ni mepamba zukiwa hali ya kuwa nakusifu wewe na ninashudia kuwa hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah (mara tatu) na anapofikiwa na jioni anasema “ nimefikiwa na jioni ….)
Ameipokea nasaiy {6/147} na hadihti hii iko katika swahihi musinad ya shekhe muqubil Allah amrwehemu
* «سبحان الله وبحمد» (مائة مرة)
Utakasifu ni wa Allah na kuhimidiwa ni kwake { mara mia moja } mwenye kusema hivi pindi anapofikiwa ana asubuhi na pindi anapofikiwa na jioni hatokuja yeyote siku ya kiyama na bora zaidi ya alicho kuja nacho isipokuwa atakaekuwa alisema mfano wake au kazidisha .
Ameipokea muslim kutoka kwa Abu huraira {2691}.
*«لا إِلَهَ إِلا اللَّهُ وَحْدَهُ لا شَرِيكَ لَهُ لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ.
Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah peke yake hana mushirika ni wake ufalme na ni zake sifa njema naye juu ya kila kitu ni muweza( mara mia moja) mwenye kusema dua hii katika siku yake anakuwa na usawa wa kuacha huru watumwa kumi na ataandikiwa mema kumi na atafutiwa makosa kumi na itakuwa ni hirizi yake kutokana na shaitwani kwa siku yake hiyo mpaka afikiwe na jioni na hatokuja yeyote na bora ya kile alicho kuja nacho isipokuwa aliyefanya zaidi ya hivyo.
Ameipokea bukhar na muslimu kutoka kwa Abu huraira{2691}
Au anaisema mara kumi amelipokea hilo abu daud{5080} kutoka kwa abi ayashi na ameipoea Ahmad {5/420} kutoka kwa abu ayubu al,answar
*« أَصْبَحْنَا عَلَى فِطْرَةِ الإِسْلاَمِ وَعلى كَلِمَةِ الإِخْلاَصِ وَعلى وَدِينِ نَبِيِّنَا مُحَمَّدٍ وَعلى مِلَّةِ أَبِينَا إِبْرَاهِيمَ حَنِيفاً مُسْلِماً ».
Tumepambazukiwa juu ya umbile la wislamu na juu ya tamko la ikhiraswi ni juu ya dini ya nabi wetu muhamad na juu ya mila ya baba yetu ibrahimu mwenye kujieweka mbali na ushirikina mwenye kujisalimisha” na anapofikiwa na jioni anasema “ tumefikiwa na jioni …..)kutoka kwa abdirrahman ibn abza ameipokea Ahmad{3/306}
Kusoma muawidhati qul huwa Allah ahad, qul audhubi rabi lfalaq, qul audhibi rabi nnasi( mara tatu ameipokea ahmad{37/ 335} na nasaiy kwa issinadi hasani na ameihasinisha hadithi hii shekhe alban Allah amurehemu
* «سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ عَدَدَ خَلْقِهِ وَرِضَا نَفْسِهِ وَزِنَةَ عَرْشِهِ وَمِدَادَ كَلِمَاتِهِ»
Utakasifu ni waAllah na kuhimidiwa ni kwake idadi ya viumbe vyake na rdhaa ya nafsi yake na pambo la arshi yake na wino wa maneno yake { mara tatu asubuhi kutoka kwa juweiraya
Ameipokea muslim{6768}
*«أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ »
Najinga kwa maneno ya Allah aliyo kamilika kutoka na shari ya alicho kiumba hakito mudhuru kitu {mara moja jioni . ameipokea muslim kutoka kwa Abu huraira{2709}
Kusoma aya mbili za wisho wa surat albaqarat mwenye kuzisoma aya hizo katika usiku wake zitamtosheleza ameipokea Bukhar na muslim kutoka kwa abu masuud al, answary
مرتبط