.SWALI : NI ZIPI NYIRADI ZA BAADA YA SWALA YA FARADHI ZILIZOTHIBITI KUTOKA KWA MTUMEﷺ ? .JIBU
-
SWALI : NI ZIPI NYIRADI ZA BAADA YA SWALA YA FARADHI ZILIZOTHIBITI KUTOKA KWA MTUMEﷺ ? .JIBU
ِ* «أَسْتَغْفِرُ الله أَسْتَغْفِرُ الله أستغفر الله اللَّهُمَّ أَنْتَ السَّلَامُ وَمِنْكَ السَّلَامُ تَبَارَكْتَ ذَا الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ»
Namtaka msamaha Allah, namtaka msamaha Allah, namtaka msamaha Allah. Ewe Allah wewe ni salamu na kwako wewe inatoka amani umetukuka ewe mwenye utukufu na ukarimu.” Kutoka kwa thaubani amesema: alikuwa mtumeﷺanapotoka katika swala yake. Anataka msamaha mara tatu na anasema Allah. Ewe Allah wewe ni salamu na kwako wewe inatoka amani umetukuka ewe mwenye utukufu na ukarimu.” Ameipokea muslim {931}.
Takbir ameipokea bukhar{797 kutoka kwa ibn abbas radhi za Allah ziwe juu yake amesema: nilikuwa nafahamu kumalizika kwa swala ya mtume ﷺ kwa takbr
Ayat alkrus kutoka kwa Abu umama ameipokea tirmidhiy mwenye kuisoma aya hii baada ya kila swala hakito kuwa baina yake na pepo isipokuwa umati
Kusoma muawidhat ameipokea Abu daud{1302} kutoka kwa uquba ibn a`mir kutoka kwa mtume ***
Nazo uawidhat ni qul huwa Allah ahad qul audhubi rabi lfalaq qul audhubi rabi nnasi
ِ
* «لَا إِلَهَ إِلَّا الله وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ اللَّهُمَّ لَا مَانِعَ لِمَا أَعْطَيْتَ وَلَا مُعْطِيَ لِمَا مَنَعْتَ وَلَا يَنْفَعُ ذَا الْجَدِّ مِنْكَ الْجَدُّ».
Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah peke yake hana mshirika ni wake yeye ufalme na sifa njema naye juu ya kila kitu ni muweza eweAllah hauna mwenye kuzuia kile ulicho kitoa nawala hakuna mwenye kutoa kile ulicho kizuia na wala haimnufaishi mwenye utukufu kwako wewe ndo unatoka utukufu .
Ameipokea bukhar {799} kutoka kwa mugira ibn shuuba hakika ya mtume ﷺ alikuwa akisema kila baada ya kila swala
* «لَا إِلَهَ إِلَّا الله وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ لَا حَوْلَ وَلَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللَّهِ لَا إِلَهَ إِلَّا الله وَلَا نَعْبُدُ إِلَّا إِيَّاهُ لَهُ النِّعْمَةُ وَلَهُ الْفَضْلُ وَلَهُ الثَّنَاءُ الْحَسَنُ لَا إِلَهَ إِلَّا الله مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ وَلَوْ كَرِهَ الْكَافِرُونَ
Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah peke yake hana mshirika na wake ufalme na sifajema ni zake nae juu ya kila kitu ni muweza hakuna hila ya kuacha maasi wala nguvu ya kufanya twaa isipokuwa kwa Allah na wala hatuabudii isipokuwa yeye ni zake neema na fadhila na ni zake sifa nzur m hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah hali ya kumtakasia yeye dini na lau watachukia makafiri kutoka kwa ibn zuber amesema alikuwa mtume ﷺ alikuwa anafanya tahalili kwayo ameipokea muslim {935}
* «اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ الْجُبْنِ وَأَعُوذُ بِكَ أَنْ أُرَدَّ إِلَى أَرْذَلِ الْعُمُرِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ فِتْنَةِ الدُّنْيَا وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ عَذَابِ الْقَبْرِ
Ewe Allah hakika mimi najikinga kwako kutokana na uwonga na ninajikinga kwako kutokana na kurudishwa katika umur mdhariri(uzee) na ninajikinga kwako kutokana nafitina za dunia na ninajikinga kwako kutokana na adhabu ya kaburi ameipokea bukhar {2610} kutoka kwa sad kwa hakika yeye aliwafundisha watoto wake maneno haya na akasema hakika ya mtumeﷺalikuwa anajikinga kwayo baada ya swala.
* «رَبِّ قِنِي عَذَابَكَ يَوْمَ تَبْعَثُ عِبَادَكَ .( أَوْ قال : تَجْمَعُ) »
Ewe mola wangu nikige mimi adhabu yako siku atakapo fufua waja wako au alisema {utakapo wakusanya } ameipokea muslimu{1159} kutoka kwa albaraa amesema : tulikuwa pindi tunapo swali yuma ya mutmeﷺ tunapendelea kuwa kuliani kwake anatuelekea kwa uso wake amesema baraa basi nilimsikia akisema maneno haya
* «اللَّهُمَّ أَعِنِّي عَلَى ذِكْرِكَ وَشُكْرِكَ وَحُسْنِ عِبَادَتِكَ»
Ewe Allah nisaidie mimi juu ya kukutaja wewe na kukushukuru wewe na uzuri wa kukuabudia wewe ameipokea abu daud {1301}kutoka kwa muadhi ibn jabal hakika ya mtumeﷺ alichukuwa mkono wake na akasema : nINAkuusia wewe muadhi usiache asiache kila baada ya swala kusema…..akaitaja hadithi hii
*«(سُبْحَانَ اللَّهِ. وَالْحَمْدُ لِلَّهِ . وَالله أَكْبَرُ )
Utakisifu niwa Allah na swifa njema ni za Allah na Allah ni mkubwa. Mpaka ifikike kila moja tharathini na tatu kutoka kwa abu huraira Allah amuridhie kutoka kwa mtume ﷺ ameipokea bukhar {798}na muslim
* ويقول تَمَامَ الْمِائَةِ «لَا إِلَهَ إِلَّا الله وَحْدَهُ لَا شَرِيكَ لَهُ لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ
Na anasema kukamilisha mia moja hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah peke yake hana mshirika nae juu ya kila kitu ni muweza
Atasamehewa makosa yake haka kama yatakuwa mfano wa povu la bahari kutoka kwa abu huraira kutoka kwa mtumeﷺ… ameipokea muslim {939}
* سبحان الله (خمسًا وعشرين) والحمد الله (خمسًا وعشرين) والله أكبر (خمسًا وعشرين) ولا إله إلا الله (خمسًا وعشرين
Utakasifu ni waAllah (mara ishirini natano ) na sifa jema zinamsitahiki Allah(mara ishirini na tano) na Allah ni kubwa ( mara ishirini na tano). Na hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah ( mara ishirini na tano). ameipokea nasaiy{1333} kutoka kwa zaidi ibn thabiti amsema: waliamrishwa kwa wafanje tasbih kila baada ya swala mara therathini na tatu na wamuhimidi Allah mara therathini na tatu na watoe takbir mara therathini na nine . basi akaijiliwa mtu moja katika maaswari katika usingizi wake akaambiwa amekwamurisheni mtumeﷺ wa Allah mfanye tasbihi kila baada ya swala mara therathini na tatu na mmuhimidi Allah mara therathini na tatu na mtoe takbir mara therathini na nine akasema ndiyo akesema basi zijalieni ziwe ishirini na tano na jalieni dani yake tahalili (la ilaha ila Allah)
Pindi alipopambazukiwa alimwendea mtumeﷺ akamtajia hilo akesema ﷺ basi zijalieni hivyo
* «الله أكبر (عَشْرًا) وَسبحان الله (عَشْرًا) وَالحمد لله (عَشْرًا
Allah ni mkubwa ( mara kumi) na utakasifu ni wa Allah ( mara kumi) na sifa njema zinamsitahiki Allah . kutoka kwa Anas ibn maliki hakika ya mtumeﷺ alimwambwia umu sulaimu : ewe umu sulaimu utakapomaliza swali swala ya faradhi sema …. Akaitaja hadithi…. Kisha akasema kisha omba unachotaka kwa haika yeye anakwambia wewe ndiyo mara tatu.
Ameipokea Tirimidhiy{443}na ameipokea Abu yala almusuly {327}
مرتبط