HAIYA YA IBN ABI DAUD
HAIYA YA IBN ABI DAUD
تمسك بحبلِ الله وأتبعِ الهُدى
|
|
ولا تكُ بدعيا لعلك تُفلحُ
|
Shikamana na kamba ya Allah na fuata uongofu na wala usiwe mtu wa bidaa(mzushi bila shaka utafaulu
ودنْ بكتابِ الله والسننِ التي
|
|
أتت عنْ رسول الله تنجو وتربحُ
|
Na fanya dini kwa kitabu cha Allah na sunna ambazo zimekuja kutoka kwa mtume*** utaokoka na utapa
faida
وقل غيرُ مخلوقٍ كلام مليكنا
|
|
بذلك دان الأتقياء , وأفصحوا
|
Na sema sikiumbe maneno ya mmikili wetu kwa itikadi hiyo walifanya dini wema na wakaweka wazi
ولا تكُ في القرآن بالوقف قائلاً
|
|
كــما قــال أتْبـاعٌ لجمٍ وأسـجحُوا
|
Wala usiwe katika qur,an kwa kusita ni mwenye kusema kama walivyo sema wafuasi wa jahami na
Nyoyo zao zikaridhia hii itikadi mbaya.
ولا تقل القرآن حلْقٌ قرأْتُهُ
|
|
فإن كلام اللهِ باللفظ يُوضحُ
|
Na wala usiseme kuwa qur,an ni kiumbe nimekisoma kwa haika maneno ya Allah kwa lafdhi
yanawekwa wazi
وقل يتجلى الله للخلقِ جهرةً
|
|
كما البدر لا يخفى وربك أوضحُ
|
Na sema atajidhihirisha Allah kwa viumbe kwa uwazi kama mwezi mpevu haufichikana na mola wako
Yuko wazi mno
وليس بمولدٍ وليس بوالدٍ
|
|
وليس له شِبْهٌ تعالى المُسبحُ
|
Na si mzaliwa na wala si mzazi na hana mfano ametukuka mwenye kutakaswa
وقد يُنكِر الجهمي هذا عندنا
|
|
بمصداقِ ما قلنا حديثٌ مصرحُ
|
Na kwa hakika anapinga hili jahami na sisi tunayo kwa kusadikisha yale tuliyo yasema hadithi iliyo wazi
رواه جريرٌ عم مقالِ مُحمدٍ
|
|
فقلُ مِثل ما قد قال ذاك تنْجحُ
|
Ameipokea jariri kutoka katika maneno ya muhamad basi sema mfano wa kile alicho kisema katika
hilo utafaulu
وقد ينكرُ الجهمي أيضاً يمينهُ
|
|
وكِلتا يديه بالفواضلِ تنْفحُ
|
Na kwa hakika anapinga jahami pia mkono wake wa kulina na mikono yake yote miwili kwa kipao
inatoa
وقل ينزلُ الجبارُ في كلِّ ليلةٍ
|
|
بلا كيفَ جلَّ الواحدُ المُتمَدحُ
|
Na sema anateremka aljabar katika kila usiku bila namna ametukuka mmoja mwenye kusifiwa
إلى طبقِ الدنيا يمُنُّ بفضلهِ
|
|
فتفرجُ أبواب السماءِ وتُفتحُ
|
Mpaka katika tabaka ya dunia anatoa kwa fadhila zake na inachwa wazi milango ya mbingu na
Inafunguliwa
يقولُ أَلا مُستغفرٌ يَلقَ غافراً
|
|
ومُستمنحٌ خيراً ورِزْقاً فُمنحُ
|
Anasema hivi kuna mwenye kutaka msamaha akutane na mwenye kusamehe na mwenye kutaka kher
Na riziq ili apewe.
روى ذاك قومٌ لا يردُّ حديثُهم
|
|
ألا خابَ قومٌ كذبوهم وقُبِّحوا
|
Wamelipokea hilo watu ambao hairudishi hadithi yao . hafamuni mwepata khasara watu ambao
Wamewakadhibisha na wamelaaniwa
وقل: إنَّ خير النَّاسِ بعد محمَّدٍ
|
|
وزيراهُ قدَماً ثم عثمانُ الارجَحُ
|
Na sema hakika mubora wa watu baada ya muhamadi ni mawazili wake toka mwazo kisha othumani
Kwa kuuli yenye nguvu.
ورابعهُمْ خيرُ البريَّة بعدهُم
|
|
عليٌّ حليفُ الخيرِ بالخيرِ مُنْجِحُ
|
Na wanine wao ni mbora wa viumbe baada yao alliy mwenye kulazimiana na kher kwa kher ni mwenye
Kufaulu
وإنهم للرهط لا ريب فيهم
|
|
على نُجبِ الفردوسِ بالنُّور تَسرحُ
|
Na hakika wao ni kundi ambalo hakuna shaka kwao wao juu ya mito ya firdaus kwa nuru roho zao ni
zenye Kwenda na kurudi
سعيدٌ وسعدٌ وابن عوفٍ وطلحةُ
|
|
وعامرُ فهرٍ والزبيرُ الممدَّح
|
Saidi na saad na ibn aufu na twaliha , na amiri fihiry na zuber mwenye kusifiwa
وقل خير قولٍ في الصحابة كلِّهم
|
|
ولا تك طعَّاناً تعيبُ وتجرحُ
|
Na sema kauli nzuri kwa Maswahaba wote na wala usiwe mwingi wa kutwani unatia aibu na unatia
Majeraha
فقد نطقَ الوحيُ المبينث بفضلِهم
|
|
وفي الفتح آيٌ للصَّحابةِ تمدحُ
|
Na kwahakika umetamka wahayi ulio wazi kwa fadhila zao na katika surat alfatih kuna aya ambazo
zinawasifu maswahaba.
وبالقدرِ المقدورِ أيقِن فإنَّه
|
|
دعامةُ عقدِ الدِّين ، والدِّينُ أفيحُ
|
Na kwa kadar ya makadilio kuwa na yakini hakika hiyo kadari ni nguzo ya dini na dini ni pana
ولا تُنكِرَنْ جهلاً نكيراً ومُنكراً
|
|
ولا الحوْضَ والِميزانَ انك تُنصحُ
|
Na wala usipinge kwa ujinga Nakiri na Munkar na wala hodhi ,hakika wewe unanasihiwa
وقُلْ يُخرجُ اللهُ الْعظيمُ بِفَضلِهِ
|
|
من النار أجسادا وفي الفحم تطرح
|
Na sema anatoa allah mkubwa kwa fadhila zake motoni miili ambayo inatokana na mkaa kisha
Itatupwa .
عَلى النهرِ في الفِرْدوسِ تَحْيَا بِمَائِهِ
|
|
كَحِبِّ حَمِيلِ السَّيْلِ إذْ جَاءَ يَطْفَحُ
|
Juu ya mto katika firdaus itapata uhai kwa maji yake kama vile mbegu iliyobebwa na mafuriko pindi
Yalipo kuja yanaruka
وإن رَسُولَ اللهِ للخَلْقِ شَافِعٌ
|
|
وقُلْ في عَذابِ القَبْرِ حَقّ موَُضحُ
|
Na hakika ya mtume wa Allah kwa viumbe ni mwenye kuombea , na sema katika adhabu ya kaburi
Na haki iliyo wazi
ولاَ تُكْفِرنْ أَهلَ الصلاةِ وإِنْ عَصَوْا
|
|
فَكُلهُمُ يَعْصـِي وذُو العَرشِ يَصفَحُ
|
Na wala usiwa kufurishe watu wa swala hata kama wakiasi, kwani kila mwanadamu anafanya maasi
Na mwenye arshi anasamehe
ولَا تَعتقِدْ رأيَ الْخَوَارجِ إِنهُ
|
|
مقَالٌ لَمنْ يَهواهُ يُردي ويَفْضَحُ
|
Na wala usiitakidi rai ya khawariji kwani hayo n,i maneno ya mwenye kuyaitakidi yanamuangamiza na
Yanamfedhehesha.
ولا تكُ مُرْجيًّا لَعُوبا بدينهِ
|
|
ألاَ إِنمَا المُرْجِي بِالدينِ يَمْزحُ
|
Na wala usiwe murjia mwenye kucheza na dini yake, fahamuni hakika sivinginevyo murjia dini
Anaifanyia mzaha
وقلْ : إنمَا الإِيمانُ : قولٌ ونِيةٌ
|
|
وفعلٌ عَلَى قولِ النبِي مُصَرحُ
|
Na sema hakika sivinginevyo imani : ni kauli na niya na kitendo juu ya kauli ya nabiy iliyo wazi
ويَنْقُصُ طوراً بالمَعَاصِي وتَارةً
|
|
بِطَاعَتِهِ يَمْنَي وفي الوَزْنِ يَرْجَحُ
|
Na inapungua wakati mwingene kwa maasi na wakati mwingine, kwa kumtii Allah inazidi nakatika mizani
Inakuwa nzito
ودعْ عَنْكَ آراءَ الرجالِ وقَوْلَهُمْ
|
|
فقولُ رسولِ اللهِ أزكَى وأَشْرحُ
|
Na acha wewe rai za watu na kauli zao, kwani kauli ya mtume wa Allah ni bora na ni kunjufu mno
ولا تَكُ مِن قوْمٍ تلهوْا بدينِهِمْ
|
|
فَتَطْعَنَ في أهلِ الحَديثِ وتقدحُ
|
Na wala usiwe miongoni mwa watu ambao wamechezea dini yao ukawa anawasema vibaya watu wa hadithi na unawatia dosari
مرتبط