«

»

Kusilimu kwa padri

  • بسم الله الرحمن الرحيم
  • الحمد لله رب العالمين والصلاة والسلام على رسول الله صلى الله عليه وسلم وعلى آله وصحبه أجمعين .
    وبعد
  • فمن باب شكر النعمة والبشارة.
    فقد من الله تعالى بفضله ورحمته علينا وعلى الناس بنعمة الإسلام والسنة .
  • Ama baada ya kumshukuru Allah na kumtakia rehma Mtume Swallallah Alaihi Wasallam katika mlango wa kushukuru neema na bishaara (njema) ametuneemesha Allah mtukufu kwa fadhila zake na rehma zake kwetu na kwa watu juu ya neema ya uislam na Sunnah.
  • ومن تلكم النعم أن سمع بنا رجل من كبار النصارى في تنزانيا فجاء هذا اليوم إلى دارنا ومسجدنا وأسلم راغبا في هذا الدين .
  • Na katika moja ya neema hizo aliposikia kutoka kwetu mmoja wa wakubwa wa manasara(wakristo) katika Tanzania akaja leo hii nyumbani kwetu na msikitini kwetu na kusilimu akiwa na hamu juu ya Dini hii.
  • ومن عجيب أمره أنه درس في أمريكا وأثيوبيا وكينيا وأوغندا وعين شيخا لكنيسة في تنزانيا ويقول انهم بلغوه درجة النبوة .
  • Na katika moja ya maajabu ya mambo yake yakwamba amesoma marekani na Ethiopia na Kenya na Uganda na akachaguliwa kuwa kiongozi wa kanisa Tanzania na anasema walimpandisha daraja la utume.
  • ومما قال: وجدت المسلمين عندهم عمل بالانحيل الصحيح بخلاف النصارى.
  • Na katika aliyosema:Nimekuta waislam wanaifanyia kazi sahihi injili tofauti na wakristo.
  • ففي الإنجيل السجود على سبعة أعظم.
  • Katika injili kuna kusujudu katika zile sehemu saba.
  • والوضوء.
    والحجاب للمرأة .
    والايمان بالله وحده لا شريك له وأصول الإيمان
  • Na udhu
    Na hijabu ya mwanamke
    Na kumuamini Allah pekee bila ya kumshirikisha na misingi ya Imani.
  • وأن عيسى قال: من زعم أني إله فهو في النار
  • Na yakuwa Nabii Issa Amesema:Mwenye kudai yakuwa mimi ni Mungu basi yeye ni wa motoni.
  • وهذا كله في القرآن.
  • Na haya yote yapo kwenye Quran.
  • والحمد لله رب العالمين.
  • Na Shukrani zote ni za Allah mola wa viumbe wote.
  • أبو اليمان..
    الثلاثاء ذو القعدة ١٤٤٢
  • Abi Alyamaan..
    Jumanne Dhul-Qa’dah 1442
  • https://t.me/sautizaahlisunnahtanzania/1405

أضف تعليقاً

لن يتم نشر عنوان بريدك الإلكتروني. الحقول الإلزامية مشار إليها بـ *

يمكنك استخدام هذه HTML الدلالات والميزات: